je unajuwa mafisadi wa ndoa hapa nchini Tanzania? Basi jawabu ni BAKWATA hao ndio mafisadi wa ndoa . Mi binafsi sijawahi kuona mashtaka inapelekwa Bakwata kisha wakasuluhisha laaa hasha siku zote ni talaka moja kwa moja. Hebu nikulize wewe msomaji hao bakwata wana faida gani na unafidi nini wewe ha?
Bookmarks